POST | MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 5 POST |
EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Hanang |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-10-22 2024-10-31 |
JOB SUMMARY | N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa; iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine; iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi; v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika; vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika; vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali; viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGS.C |
Tagged as: Halmashauri ya Wilaya ya Hanang
Called for Interview UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) October , 2024 Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on...
Apply For This JobVarious HALMASHAURI Jobs Welcome to our page about HALMASHAURI Jobs October, 2024! Here, you will discover all Jobs from from...
Apply For This JobDEREVA DARAJA II – 4 POST POST DETAILS POST DEREVA DARAJA II – 4 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya...
Apply For This JobEXAMINATIONS OFFICER II – ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING – 1 POST POST DETAILS POSTEMPLOYERAPPLICATION TIMELINE:JOB SUMMARYDUTIES AND RESPONSIBILITIESQUALIFICATION AND EXPERIENCEREMUNERATION...
Apply For This JobCalled for Interview UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) October , 2024 Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on...
Apply For This JobMWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 6 POST POST DETAILS POST MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 6...
Apply For This Job