POST | MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – 10 POST |
EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Kyela |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-10-21 2024-11-03 |
JOB SUMMARY | NA |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | Kusaidia kubuni na kupanga mipango na miradi ya maendeleo
katika eneo lake, ii) Kusaidia uwezeshaji na upatikanaji wa mafunzo kuhusu masuala ya maendeleo katika eneo lake iii) Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo. iv) Kusaidia kutoa elimu kuhusu kazi za kujitegemea katika eneo lake, v) Kuandaa na kutoa taarifa za kazi za maendeleo ya jamii kila mwezi kwa uongozi wa kijiji na kwa Msimamizi wake wa kazi, vi) Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo. vii) Kutambua na kuwezesha kaya masikini kuinua uchumi wao kupitia fursa na rasilimali zinazowazunguka. viii) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya Jamii (Community Development),Sayansi ya Jamii (Sociology, Masomo ya Maendeleo (Development Studies),Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management),Jinsia na Maendeleo (Gender and Development),Rural Development, Au fani nyingine zinazofanana na Maendeleo ya Jamii.
|
REMUNERATION | TGS B |
Tagged as: Halmashauri ya Wilaya ya Kyela
HSE Officer Develop and implement HSSE policies, procedures, and programs specific to renewable projects in the organization. Conduct risk assessments,...
Apply For This JobOperations Manager As Bolt continues to expand its ride-hailing business, we are looking for a data-driven, passionate and dynamic Operations...
Apply For This JobCURATOR II (EDUCATION) POST CURATOR II (EDUCATION) – 1 POST EMPLOYER Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT) APPLICATION TIMELINE: 2024-10-22...
Apply For This JobRESEARCH OFFICER II (ARCHITECTURE) POST RESEARCH OFFICER II (ARCHITECTURE) – 1 POST EMPLOYER Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT) APPLICATION...
Apply For This JobSenior WASH Intern Company Description SNV is a mission-driven global development partner working in more than 20 countries across Africa...
Apply For This JobChief of Party Background SoCha LLC is seeking a full-time, qualified individual to fill the role of Chief of...
Apply For This Job